ads

Breaking News

Hii ni Kuhusu Mpango wa ndoa ya Justin Bieber na Selena Gomez

Baada ya purukushani ya mapenzi, kuachana na kurudiana mara kadhaa Justi Biber na Selena Gomez wamepanga kuvunga ngazi ya kuchumbiana ili wafunge ndoa.
Justin Bieber
Rafiki wa karibu wa Justin Bieber ameiambia HollywoodLife.com kuwa Justin alimwambia Selena kuwa yuko tayari kutulia na kupata watoto.
Maelezo hayo yanapata nguvu zaidi kwa kuwa hivi karibuni Justin Bieber alionekana akitembelea duka moja la vidani zikiwemo pete.

No comments