RAIS WA DUNIA OBAMA ASHUHUDIA KOMBE LA DUNIA AKIWA KWENYE AIR FORCE ONE
Akiwa angani: Obama akitazama mechi ya mwisho ya Marekani dhidi ya Ujerumani akiwa kwenye ndege yake.
RAIS
wa Marekani, Barack Obama ameonesha jinsi gani kombe la dunia ni muhimu
kwa taifa lake baada ya kuamua katazama mchezo wa mwisho wa kundi G
dhidi ya Ujerumani akiwa kwenye ndege yake binafsi.
Obama
alikuwa anasafiri kwa ndege kutoka Maryland kwenda Minnesota
wakati Marekani ikicheza mchezo muhimu na alihakikisha hakosi mchezo huo
kupitia matangazo ya moja kwa moja kwenye luninga iliyopo kwenye ndege
yake.
No comments