ads

Breaking News

AFRIMMA AWARDS:Tuzo za African muzik magazine awards(AFRIMMA)zinatarajiwa kufanyika jumamosi ya wiki hii july 26 davido, iyanya ,diamond,t pain kutumbuiza!

Tuzo za African muzik magazine awards(AFRIMMA)zinatarajiwa
kufanyika jumamosi ya wiki hii  july 26
huko texas marekani ,wasanii waliokatika orotha ya kutumbuiza ni davido, iyanya
,diamond, khulichana flavor,2 face, t pain nk
Nominee wa Tanzania katiak tuzo hizo kutoka tz ni diamond,
anayewania vipengele vitano, ben paul,lady jay dee, mrisho mpoto na producer
sheddy clever hawa wengine wanawania kipengele kimoja kila mmoja

No comments