Alicia Keys Na Swizz Beats Watangaza Kutegemea Mtoto Wa Pili
Familia ya Mr na Mrs Dean ‘Alicia Keys Na Swizz Beatz’ wametangaza kuwa wanategemea kupata mtoto wao wapili. Alicia Keys ametumia mtandao wa Instagram kutangaza kuwa baada ya miaka minne ya ndoa yao kudumu wanategemea kupata mtoto wa pili. Keys ameandika hivi “Happy Anniversary to the love of my life @therealswizzz!!” “And to make it even sweeter we’ve been blessed with another angel on the way!! You make me happier than I have ever known! Here’s to many many more years of the best parts of life!”
Swizz pia ameweka kwenye instagram picha akimbusu Alicia Keys na kuandika ujumbe huu “Love is life & life is love and we’re so excited for another GIFT from up above. Happy Anniversary my Goddess 4 years of greatness & cheers to 100 plus more inshallah” Alicia Keys na Swizz Beats wana mtoto mmoja anaitwa Egypt na walimpata October 2010 na Swizz anawatoto watatu kutoka kwenye mahusino mengine.
No comments