ads

Breaking News

BARACK OBAMA KIBOKO CHEKI JINSI ALIVYO WATOROKA POLICE ...NA KWENDA KULA MGAHAWANI








Raisi
wa marekani Barak Obama kwa mara nyingine, ametokea kuvunja sheria zake
za kama raisi na kujichanganya na wananchi wa kawaida kama ilvyo tabia
yake, hivyo kutokea kuwapa shida walinzi wake. Barack Obama aliwatoroka
walinzi wake na kwenda kununua burger katika moja ya migahawa
inayotumika na wananchi wa kawaida, tukio hilo lilizua uwepo mkubwa wa
ulinzi kwa muda mchache tu..ikiwa hii ni mara ya pili kwa tukio kama
hilo kutokea…angalia kipande hiki cha video kikionyesha
tukio>>>

No comments