ads

Breaking News

Hii ndio Filamu mpya itakayokuja ya Angelina Jolie na Brad Pitt.

angjjjnn

Wacheza filamu maarufu kutoka nchini Marekani ambao pia ni wapenzi Angelina Jolie na Brad Pitt wanatarajia kurejea wakiwa pamoja kwenye majumba ya sinema kwa kucheza filamu ya pamoja iliyopewa jina la “By The Sea.” ambapo Angelina anatarajia kuongoza filamu hiyo huku wote wawili wakiwa ndio watayarishaji.
Picha za filamu hiyo zitapigwa katika visiwa vya Malta na Gozo.
Angelina Jolie2-20140616-92Jolie amethibitisha habari hizo akisema kuwa anafurahi sana kuendeleza mahusiano yake na kampuni kubwa ya utengenezaji filamu ya Universal wakati akiwa anamalizia kutengeneza filamu ya ‘Unbroken’ na kuanza kutengeneza filamu ya ‘By the Sea.
Kama wewe ni mpenzi wa filamu za Angelina Jolie tarajia mambo makubwa kutoka kwenye filamu hizo.

No comments