ads

Breaking News

Mashabiki Wa Argentina Wakishangilia Neymar Kukosa Mechi Za Kombe La Dunia

Mashabiki Wa Argentina wameonekana kwenye mitaa ya Brazil na Argentina Wakishangilia baada ya taarifa za mchezaji wa Brazil Neymar kutangazwa Kukosa mechi zilizobaki za Kombe La Dunia Kutokana Na Kuvunjika Mfupa.
n 3n 2n 6Bbc imeripoti taarifa za nyota wa wa soka kutoka Brazil Neymar kuto shiriki tena michuano ya kombe la unia baada ya kuvunjika mfupa unaoshika uti wa mgongo katika mechi ya Brazil dhidi ya Colombia ambayo Brazil walichinda kwa bao mbili.
Neymar aligongwa chini kidogo ya mgongo kwenye mechi yao na Colombia na kupelekwa moja kwa moja hospitalini nakufanyiwa matibabu.
Brazil pia imepata pigo lingine baada ya taarifa kuwa Thiago Silva hatashiriki  kwenye mechi yao na Ujerumani baada ya kupewa kadi ya pili ya njano.
n 1 n 4 n 9

No comments