Kama alivyosema kwenye exclusive Interview wiki
chache nyuma kuwa atamtumia Mama Steve kama video queen wa video yake
mpya, Ni msanii Barnaba wa Tht ambaye ameshaanza kufanya video ya wimbo
aliouita ‘Wahalade’ na director Nick Dizzo wa Focus Film.
Hizi Ni Picha Za Utengenezwaji wa Video Hii ya Barnaba-Wahalade
Picha Za Utengenezwaji Wa Video Ya Barnaba-Wahalade
Reviewed by peacethepresident
on
July 16, 2014
Rating: 5
No comments