ads

Breaking News

PICHAZ:ivi ndivyo Shetta alivyoogeshwa July 16 kwenye futari iliyoandaliwa na THT.

12SHT

















Mara nyingi birthday party za washkaji huwa zinasindikizwa na umwagiwaji wa maji kwa mhusika,sasa unaambiwa hii ya Shetta imekua kiboko pengine kutokana na sehemu aliyokuwepo.
Shetta alihudhuria futari iliyoandaliwa na Tanzania House of Talent [THT] sasa baada ya watu kufuturu tu na yeye kuingia wakamwita pembeni kama wanaongea nae kilichofuata hapo sasa ni maji tu.
Sasa hii imekuwa tofauti kwa sababu Shettah kamwagiwa hadi maji ya Ukoko yaliyokuwa yamelowekwa kwenye masufuria yaliyokuwa na chakula pale THT,cheki picha hizi walichomfanyia wadau Baba Qaylah.




7SHT
5SHT
3SHT
4SHT
8SHT
2SHT
1SHT
9SHT

No comments