ads

Breaking News

Umemiss kazi za Ali Kiba?…basi hii inakuhusu.

kinaaa7
Kama umemiss kuhusu kazi za Ali Kiba basi hii post inakuhusu. Ali Kiba baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu ahatimaye ametangaza kutoa wimbo mpya tarehe 25/7 ambapo zimebaki siku 4 kuanzia leo tarehe 21/7.
kiba

No comments