ads

Breaking News

Young D kama Lil Wayne…cheki aina mpya ya muziki aliofanya.

ffff
Lil Wayne ni msanii wa Hiphop lakini aliwahi kujaribu kutoa album ya rock ambayo inaitwa Rebirth yenye hit singles kama Knock Out na Porm Queen . Sasa Young D amefanya aina hii hiyo ya nyimbo na video yake imetoka unaweza kuicheki hapa.

No comments