AIBU TENA: ASKARI FEKI MWINGINE WA USALAMA BARABARANI ANASWA LEO CHAMAZI
Askari
feki wa Usalama Barabarani ambae Jina lake halikufahamika haraka akiwa
chini ya Ulinzi mkali wa Askari Polisi (hayupo pichani) mara baada ya
kukamatwa kwa kujifanya ni askari wa usalama barabarani huku akifahamu
kuwa ni kosa kisheria.
Inasemekana Mtuhumiwa aliwahi kuwa askari wa
Usalama barabarani ambapo kituo chake cha Kazi kilikuwa Mkoa wa Pwani na
ni mmoja kati ya askari waliofukuzwa kazi kwa kuenda kinyume na
taratibu na sheria za Jeshi la Polisi Tanzania
Askari
Polisi ambae jina lake halikufahamika mara moja (Mwenye sweta)
akimkamata kwa makini mtuhumiwa aliyejifanya askari wa usalama
barabarani leo katika eneo la Chamazi Jijini Dar Es Salaam
Askari
feki akishangaa na kuduwaa mara baada ya jeshi la Polisi Kumtia nguvuni
leo Katika Eneo la Chamazi Jijini Dar Es Salaam Mapema leo.Picha Kwa
Hisani ya Mdau.
No comments