FUSO LAUWA MWENDESHA BAISKELI HUKO MOROGORO
Mwili wa marehemu ukiwa eneo la ajali. Pembeni ni baiskeli yake.
Baiskeli ya marehemu ikipakiwa kwenye gari.
Wananchi wakiwa eneo la ajali.
MWENDESHA
baiskeli ambaye hakufahamika jina lake mara moja amepoteza maisha baada
ya kugongwa na lori aina ya Fuso eneo la Kibaoni, Ifakara mkoani
Morogoro jana.Marehemu anadaiwa kuwa ni mlinzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) mkoani humo.
No comments