Lulu Amfungukia Ali Kiba Na Kuwakoromea Wanaoendekeza Ushabiki.
Lulu |
"Haya sasa.....maelezo hatimaye yamepatikana....mnivumilie ni marefu Kidogo...! 1. Pongezi kwa @officialalikiba nimesikia
Mwana wa Dar es Salaam tu lkn kiukweli Mimi binafsi umenikonga moyo...!
2.ieleweke kwambi Mimi ni shabiki wa mziki mzuri hata ukiwa umeibwa na
underground na wengi wenu mmekuwa mashaidi maana huwa na post video
nikiimba miziki ya watu tofauti hata wasio mastar wakubwa...kwahyo mm
sio shabiki wa mtu ni shabiki wa kazi ya mtu 3.Nimegundua wasanii wengi
wa Tanzania tuna U mimi....hivi ulaya wangekuwa hvyo...Hollywood c
kungekuwa na mtu mmoja tu au wawili basi....nadhani umefika muda wa
wasanii Kama wasanii kila mmoja kujiamini ktk kazi Zake na kufikiria
kufanya makubwa sio kufikiria kushindana na flani.....tena
tukishirikiana tutaweza kufika mbali zaidi ya hapa...tutaendelea kila
cku kuona maajabu wenzetu Nigeria wanafika mbali....wanajielewa na
wanashirikiana...
!Kama
binadamu kukoseana kupo ila ukijua kosa kuomba msamaha na kuendelea na
maisha ndo busara zaidi 4.Hapa sasa....nieleweke jmn...Mashabiki wetu
Tunawapenda sawa....lakini kwa namna moja au nyingine Mashabiki
mnchangia bifu za wasanii....JAMANI Ukiwa shabiki wa Lulu haimaanishi
umchukie Wolper(mfano)Kama ww ni shabiki wa mtu sio umchukie msanii
mwingine na hii kwakweli ninaiona Tanzania tu(thou sio Mashabiki WOTE)
5.Mwisho...WOTE tunategemeana wasanii tupendane tukiona wenzetu flani
wana shida tusaidie kuondoa tofauti na Mashabiki pia nyie ndo msaidie
kupatanisha watu sio kuchochea ugomvi....Mungu alivyotuumba wengi
alikuwa na maana yake sasa we ukitaka uwe Mkali pekeyako ungeumbwa
mwenyewe ukawekwa kwenye dunia ya pekeyako tukusome kwenye history dunia
flani Kuna mtu mkali yuko pekeyake..!duh nimechoka kuandika lkn
cjamaliza.....bt I real wish wakali mngeungana mfanye mambo
makubwa....naamini inawezekana...!"
No comments