Kama
mnavyojua AGNES MASOGANGE kwasasa yupo BONGO na Yule jamaa yake yupo
SAUZI..sasa kutokana na taarifa za kile ambacho MASOGANGE anakifanya
hapa mjini kumfikia jamaa yake huko SAUZI kupitia jamaa ambao wanampa
ripoti zote kutoka hapa BONGO na hivyo kupelekea kuhatarisha penzi la
MASOGANGE na huyo jamaa…MASOGANGE AMEAMUA KUFUNGUKA |
No comments