Muigizaji wa filamu nchini marekani
morgan freeman amesema mapenzi wamenfanya aendelee kuwa kijana
jamaa ambaye hadi sasa ana taraka mbili
amesema
anahisi kua na hamu ya kufanya
mapenzi katika umri huo wa uzee coz anafeel ujana na amedai wasichana wengi
humwambia bado anavutia
sasa alipoulizwa
nini kinakufanya ujisikie bado ni kijana alijubu p**y ukiipata mara kwa mara
unakuwa young .
No comments