Muziki unalipa: Davido anunua private Jet yake
Mwimbaji wa ‘Ayee’ Davido wa Nigeria amethibitisha kuwa mbali na kuwa mtoto wa bilionea lakini muziki unamlipa kwa kiasi cha kumuwezesha kumiliki private Jet yake. Kama wewe unamfollow Davido kwenye Instagram yake bila shaka utakuwa shahidi wiki iliyopita alipost pic akiwa kwa jet yake kabla ya kuelekea togo kwa ajiri ya show
No comments