Nicki Minaj Apewa Kiatu Ambacho Bado Hakijaingia Sokoni,Ndio Wakwanza Kukijaribu.
Amekuwa kwenye vichwa vya habari kwa muda sasa baada ya video ya wimbo wake wa Anaconda kuweka rekodi mpya ya kutazamwa na watu milioni 19.6 kwa saa 24 tu. Hivi karibuni kwenye show yake Nicki Minaj amevaa kiatu cha mbunifu Giuseppezanotti ambacho bado kipo kiwandani kwenye matengenezao.Minaj anaweza kuwa mtu wa kwanza kujaribu matumizi ya kiatu hichi.
No comments