ads

Breaking News

Picha: Belle 9 atua Universal Music Ujerumani


IMG-20140826-WA0001

 Belle 9 bado yupo nchini Ujerumani alikoenda kwa mapumziko mafupi. Akiwa jijini Berlin nchini humo, hitmaker huyo wa ‘Masogange’ alitua kwenye makao makuu ya miongoni mwa label kubwa dunia, Universal Music Group tawi la Ujerumani.

UMG ni labal kubwa yenye label zingine ndogo ndani yake ambazo ni pamoja na Interscope Records, Geffen Records na A&M Records na zingine.
Belle amesema kuwa alienda kwenye ofisi hizo kuonana na producer ambaye anafanya kazi hapo. “Nataka nifanye naye ngoma,” amesema. “Pia jamaa ana connection ya jinsi ya kupeleka ngoma hapo.”

No comments