Picha,Muonekano Wa Hulk Hogan Toka 1990 Mpaka 2014 Umeshangaza Wengi.
Wanasema mcheza mieleka maarufu duniani Hulk Hogan bado anamuonekani
wa ubingwa ata baada ya miaka mingi nje ya mchezo wa mieleka. Picha ya
kushoto anaonekana akiwa na miaka 37 ilikuwa miaka ya tisini. Miaka 24
imepita na anaelekea miaka 61 bado anamuonekano uleule. Anasema
Mazoezi,Kula na kulala vizuri na kuwa na furaha na familia yake
vimechangia haya.
No comments