Video: HBO kuonesha kila kilichotokea magaidi walipoivamia 'Westgate Mall' nchini Kenya, angalia trailer
HBO imepanga kuachia makala maalum (documentary ) itakayoonesha kila kitu kilichotokea ndani ya jumba kubwa la manunuzi la Nairobi, Kenya ‘Westgate Mall’ wakati magaidi wa Al-Shabaab walipovamia na kufanya mauaji.
HBO wameeleza kuwa camera zaidi ya 100 za jengo hilo zilinasa matukio takribani yote yaliyojiri na wao wako tayari kuyafichua.
Makala hiyo iliyopewa jina la ‘Terror at The Mall’ itaoneshwa rasmi Jumatatu, September 15 mwaka huu saa tatu usiku kupitia HBO.
Angalia trailer:
No comments