ads

Breaking News

Video: Kampuni ya Japan yaingiza sokoni midoli ya mapenzi 'real Love Dolls', maalum kwa wanaume

Kampuni ya Japan inayojulikana kama Orient Industry
imeingiza sokoni midoli yenye umbo na sura ya wasichana wenye mvuto wa
aina mbalimbali, maalum kwa wanaume kufanya nayo mapenzi kama wasichana
halisi (Real Love Dolls).

Kampuni hiyo ilianza kutengeneza midoli hiyo tangu mwaka 1977 na
imekuwa ikiiboresha kila wakati ili kuipa uhalisia katika suala la
mapenzi, na hadi sasa meweza kuingiza sokoni midoli ya aina tatu maalum
kwa ajili ya tendo hilo.



Kwa mujibu wa kampuni hiyo, mdoli mmoja unauzwa $ 2.7 na ukiitazama
bila kuigusa ni vigumu kuitofautisha na msichana/ mwanamke halisi mwenye
mvuto kwa kuwa mtumiaji anaweza kuigeuza katika position aitakayo.

Katika aina hizo tatu, kampuni hiyo imeeleza kuwa aina moja
imetengenezwa katika hali ambayo itawasaidia hata wanaume ambao ni
walemavu wa viungo vya mwili.
Tayari kampuni hiyo imeanza kusambaza matangazo ya bidhaa hiyo kwa
wateja wao huku ikipost videos kwenye YouTube kuhusu jinsi ya kuitumi midoli hiyo

No comments