ads

Breaking News

Video ya Anaconda by Nicki Minaj yavunja rekodi ndani ya masaa 24

1

Anaconda ni wimbo ambao ulianza ku-make headline tangu Nicki Minaj atoe cover yake. Story zikawa kubwa baada ya kutoa video yenyewe na hivi sasa Nicki Minaj ameweka rekodi mpya ndani ya masaa 24 kwa kupata views milioni 19.6.
Mwanzoni rekodi hii ilikuwa ya Miley Cyrus na video ya Wrecking Ball ambayo ilipata views milioni 19.3 ndani ya msaa 24. Nicki Minaj ali-tweet, “WE BROKE THE RECORD BABY!!!!! Anaconda Video 19.6 million views in 24 hrs!!!!”
2
Hivi sasa hiyo video ina views zaidi ya milioni 49.9.

No comments