Amber Rose aamua kujisafisha kwa kukana kumsaliti mumewe Wiz Khalifa
Baada ya Amber Rose kudai talaka kwa mumewe na baby dady wake Wiz Khalifa, sababu ambazo zimekuwa zikitajwa kuwa chanzo ni kuwa wawili hao walisalitiana na kupelekea ndoa yao iliyodumu kwa mwaka mmoja kufika ukingoni.
Amber Rose ameamua kuweka mambo sawa upande wake kwa kujitetea kuwa hakuwahi kumsaliti mumewe.
“Please stop with the fake stories. I would never ever ever cheat on my husband in a million years I think u guys know this…..” alitweet.
No comments