Basi la kampuni ya Airbus lililokuwa likitoka Dar es Salaam leo
kuelekea Tabora limepinduka katika maeneo ya maeneo ya Kiegeya Gairo.
Shughuli za uokozi zikiendelea muda mfupi uliopita Haijulikani idadi
kamili ya WATU WALIOFARIKI NA KUJERUHUWA
Breaking: Ajali nyingine mbaya ya basi yaua makumi, Gairo
Reviewed by peacethepresident
on
September 08, 2014
Rating: 5
No comments