G-Nako azitaja single mbili atakazoziachia kesho
“Ngoma ya kwanza inaitwa “Mavijanaa” ambayo nimemshirikisha Nick wa pili, producer ni Fundi Samwel,” G ameiambia Bongo5. “Ngoma nyingine nimemshirikisha Barnaba na Lord Eyes producer akiwa Chizan Brain. Hizi ni kazi za kama solo artist lakini zikiwa zinasimamiwa na kampuni ya Weusi na video pia ipo tayari ya Mavijanaa ni muda tu wakupanga itoke lini.”
No comments