Msanii Joslin akishirikisha na Stopa Rhymes ameachia video mpya wa wimbo wake ‘Tesa Naye’ iliyoongozwa na Numark Production.