hii ni album yake mpya baada ya ile ya pink friday ,roman reroded aliyotoa mwaka 2011 The Pinkprint imetokana na album ya Jay Z ya mwaka 2001, The Blueprint