ads

Breaking News

Picha: Huyu ndiye mpenzi mpya wa Trey Songz, ni msanii mkubwa wa RnB

Mr. Nana, Trey Songz ameripotiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwimbaji wa RnB ambaye pia ni rapper wa kike, Mila J.

E!News imethibisha kuwa wanamuziki hao ni wapenzi na wamekuwa wakionekana pamoja kwenye hafla mbalimbali.
Trey Songz na Mila J walionekana katika shughuli ya Ne-Yo Ijumaa iliyopita na mashuhuda walieleza kuwa waliwaona wakiwa katika poz za mahaba na mara nyingine walikuwa waki-kiss.
Trey Songz alichochea tetesi hizo kwa kupost picha kwenye Instagram akiwa na Mila J na kuandika ‘She so fine’.

Tayari Trey Songz na Mila J wameshashirikiana kwenye wimbo wa ‘Disrespectful’ kutoka kwenye albam ya Trey Songz ‘Trigga’.

No comments