Usingizi
ni kitu kingine ambacho kinaweza kuwa kigumu kukizuia pale kinapotaka
kuchukua nafasi yake, sio ajabu kukutana na mtu kasinzia kwenye
daladala, ofisini au darasani ambao wengi tumewaona wakisinzia wamekaa
ila huyu jamaa wa Japan ndio alitisha.
No comments