Video: Beyonce awaziba midomo waliokuwa wakidai hakubeba mimba ya Blue Ivy
Lakini kwenye kipindi cha ‘On the Run Tour HBO special’, Bey, 33, amewanyamazisha wakosoaji baada ya kushare video aliyorekodi nyumbaji wakati akiwa mjamzito. Tazama video hiyo hapo juu.