Msanii Ariana Grande na rapper Big Sean wamethibitisha kuwa ni
wapenzi baada ya kupigwa picha wakipeana busu ndani ya Universal Studios
huko
Hollywood
,
Ariana mwenye miaka 21 na Big Sean ’26’ wamekuwa wakificha mahusiano
yao kwa muda sasa ila kwa sasa ushahidi wa picha umeweka wazi mambo
yote.
No comments