Best African Entertainer: Diamond ambwaga Davido kwenye tuzo za IRAWMA
Diamond Platnumz amewabwaga Davido,
Awilo Longomba, Willy Paul Msafi (Kenya) na Eddy Kenzo wa Uganda na kushinda
kipengele cha ‘mtumbuizaji bora wa Afrika – Best African Entertainer kwenye
tuzo za IRAWMA (International Reggae and World Music Awards)
“It always seems impossible
until it’s Done!…ningependa kuwataarifu Wadau wangu kwamba #MdogoMdodo ndio
nyimbo bora yenye Mahadhi ya Kiafrika na Kijana wenu Diamond ndio M’burudishaji
bora wa Mwaka kwenye tunzo hizi za #IRAWMA zilizofanyika nchini Marekani
04|10|2014….. Asanteni sana sana…hakika Umoja ni nguvu, tuhamieni kwenye
nyingine sasa,” ameandika msanii huyo kwenye Instagram.
No comments