Drake Aboresha Rekodi Yake Kwenye Chati Za Bilboard,Kuwakaribia Jay Z Na Lil Wayne.Drake Aboresha Rekodi Yake Kwenye Chati Za Bilboard,Kuwakaribia Jay Z Na Lil Wayne.
Collabo
ya Makonnen na Drake “Tuesday” imeweka rekodi nyingine kwenye muziki wa
Drake baada ya kuingia kwenye chati za Bilboard na kumfanya Drake awe
msanii mwenye nyimbo 72 kwenye chati za dunia za Billboard Hot 100.
Drake sasa ameonekana zaidi kwenye chati za bilboard kuliko
The Beatles.Kama solo artist hajawa na wimbo ulioshika namba moja
kwenye bilboard hot 100 ila anaongoza kwa kuwa na nyimbo zilizoshika
namba moja zaidi kwenye chati za Bilboard hot rap songs ata kuwashinda
wasanii kama Jay z,Lil Wayne na
Kanye West
.
Ila kwenye chati za bilboard hot 100 bada yupo chini ya Jay Z na Lil
Wayne na wasanii wengine wenye nyimbo nyingi zaidi kwenye chati hizo
kama Elvis, James Brown, Ray Charles, Aretha Franklin na Glee ambao ndio
wanaongoza kwa kuwa na nyimbo 207 kwenye chati hio.
No comments