Kelly Rowland na mume wake ambaye pia ni meneja wake, Tim
Witherspoon wamepata mtoto wa kiume waliyempa jina, Titan Jewell. Mtoto
huyo alizaliwa jana.
Muimbaji huyo wa zamani wa Destiny’s Child alitangaza mwezi June kuwa
alikuwa anatarajia kupata mtoto, ikiwa ni mwezi mmoja tu baada ya
kufunga ndoa huko Costa Rica.
Kelly Rowland ajifungua mtoto wa kiume
Reviewed by peacethepresident
on
November 05, 2014
Rating: 5
No comments