
Ikiwa zimesalia wiki mbili kabla hajaachia album yake mpya ‘Hood
Billionaire’, big boss wa MayBach Music Group, Rick Ross ameachia
single mpya aliyomshirikisha rapper Jay Z.
Wimbo huo ambao utakuwepo kwenye album hiyo inayotarajiwa kutoka Nov.24 unaitwa ‘Moving Bass’.
No comments