Picha: Navio na Izzo Bizness waingia studio, Dupy asimamia mdundo!
Wawili hao wamerekodi wimbo wao kwenye studio za Switch zinazomilikiwa na Quick Rocka huku producer wa Upraise Music, Duppy akisimamia mdundo.
Rapper wa Uganda, Navio akirekodi. Aliyekaa ni producer Duppy
“With the big Homie from UG @naviomusic #BiznessAllDay #CertifiedHIT inakuja…Y’all guys ready for this,” ameandika Izzo kwenye picha aliyopost Instagram akiwa na Navio.
“Beasts from the East! No prisoners when we on that mic! UG what’s good? #EA,” ameandika Navio
No comments