ads

Breaking News

Nicki Minaj ataja nyimbo zitakazokuwepo kwenye ‘The Pinkprint’, upo aliomshirikisha Beyonce

nicki-minaj-reveals-collaborations-with-beyonce-and-ariana-grande-on-the-pinkprint
Nicki Minaj ameweka wazi orodha ya nyimbo zitakazopatika kwenye album yake ijayo, ‘The Pinkprint’.
Kwa mujibu wa orodha hiyo ambayo rapper huyo aliionesha kwenye Instagram jana, album hiyo inayosubiriwa kwa hamu ina nyimbo 19 zikiwemo alizowashirikisha Beyonce Knowles na Ariana Grande.
10831933_747050431998987_1702937593_n
Bey, aliyemshirikisha Minaj kwenye remix ya “Flawless”, atasikika kwenye wimbo wake ‘Feeling Myself’. Grande, atasikika kwenye wimbo wake “Get on Your Knees”.
“The Pinkprint” itaingia sokoni December 15.

No comments