Hii
itakua ni singo ya 2 kuwa rasmi kwenye masikio yako kutoka kwa Barakah
Da Prince baada ya ile ya kwanza ya Jichunge akiwa na Tetemesha
Production,singo inaitwa Siachani nawe.
Imetengenezwa na watayarishaji watatu wa muziki ambao ni Nusder/Lollypop na Kid Boy kwenye studio ya Tetemesha Records.
No comments