ads

Breaking News

Mike Tyson na Nas washirikishwa kwenye albam mpya ya Madonna ‘Rebel Heart’

mike-tyson-1
Madonna ametoa orodha ya nyimbo zitakazopatikana kwenye albam yake mpya ‘Rebel Heart’, ambayo nusu ya nyimbo zake zilivuja mwishoni mwa mwaka jana nakumfanya atoe nyimbo sita kwa mpigo kabla ya tarehe ya kuitoa albam hiyo.

Rapper Nas Escobar, Nicki Minaj pamoja na bondia wa zamani Mike Tyson ni miongoni mwa walioshirikishwa. Bado haijafahamika ushiriki wa Tyson ni upi kwenye “Iconic”.
‘Rebel Heart’ imepangwa kutoka March 10,2015.
Hii ndio orodha kamili:

01 “Living For Love”
02 “Devil Pray”
03 “Ghosttown”
04 “Unapologetic Bit05 “Illuminati”
06 “Bitch I’m Madonna” (Feat. Nicki Minaj)
07 “Hold Tight”
08 “Joan Of Arc”
09 “Iconic” (Feat. Chance The Rapper & Mike Tyson)
10 “HeartBreakCity”
11 “Body Shop”
12 “Holy Water”
13 “Inside Out”
14 “Wash All Over Me”
15 “Best Night”
16 “Veni Vidi Vici” (Feat. Nas)
17 “S.E.X.”
18 “Messiah”
19 “Rebel Heart”

No comments