Iggy Azalea atangaza kuwa aliongeza ukubwa wa maziwa yake
“Miezi minne iliyopita, nilipata matiti makubwa,” rapper huyo ameliambia jarida la fashion bible. “Nilikuwa nimewaza hivyo katika maisha yangu yote.”
Anasema alifanya uamuzi huo kwasababu alikuwa haridhishwi na size ya mwanzo ya maziwa yake na kwamba hakuweka wazi uamuzi huo kwakuwa hakupenda mashabiki wake kutojisikia vibaya kuhusu miili yao.
No comments