Lady Jaydee kuachia ngoma mpya April 10
Katika mradi wake mpya uliofanyika nchini Afrika Kusini, Lady Jaydee amemshirikisha Mazet kutoka kundi la Mina Nawe pamoja na Uhuru.
Akiongea na E-News ya EATV, Lady Jaydee amesema kazi hiyo itakuwa na utofauti wa ladha ambayo hajawahi kuifanya kwa kuunganisha mawazo na pia uwezo na wasanii hao.
Ngoma hiyo itatoka na video yake.
No comments