ads

Breaking News

Nicki Minaj hajachumbiwa na Meek Mill, mama yake athibitisha


Nicki n meek

Mama mzazi wa rapper wa kike Onika Tanya “Nicki Minaj” Maraj aitwaye Carol Maraj, ametoa majibu ya maswali yaliyoibuka wiki iliyopita kama ni kweli rapper Meek Mill amemchumbia Nicki Minaj ama laa.

Carol Maraj amesema kuwa huwa anazungumza na binti yake kila siku, na amemhakikishia kuwa hajachumbiwa na Meek Mill.
“I talk to my daughter everyday, and she said she was not engaged,” aliiambia Bossip.
Nicki Minaj ring
Uvumi huo ulianza baada ya Nicki Minaj kupost picha ya mkono wake wa kushoto Instagram inayoonesha pete ya almasi yenye umbo la moyo kwenye kidole chake cha chanda

No comments