ads

Breaking News

Rapper Nelly kutoa album ya muziki wa country


179363501_nelly_640 (1)
Rapper Nelly anatarajia kutoa album ya muziki wa country.
Kwenye mahojiano na Billboard, meneja wa Nelly, J. Erving alisema kuwa Nelly hayupo tena kwenye label ya Universal na anajiandaa na album ya country iitwayo Heartland.
Meneja huyo alisema kuwa Nelly anaweza kuwa rapper wa kwanza wa Marekani kufa

No comments