ads

Breaking News

Janet Jackson kuvunja ukimya wa miaka saba, kuachia nyimbo mpya na ziara ya dunia mwaka huu


Janet

Baada ya ukimya wa miaka saba, mwanamuziki mkongwe wa Marekani Janet Jackson ametangaza kuachia nyimbo mpya pamoja na kuanza ziara ya dunia mwaka huu.

Janet ambaye aliolewa na bilionea wa Qatar Wissam AL Mana mwaka 2012, amekuwa kimya toka alipotoa album yake ya kumi ‘Discipline’ mwaka 2008.
“I promised you’d hear it from my lips. And now you will. This year, new music, new world tour, a new movement. I’ve been listening. Let’s keep the conversation going.” Alisema kwenye video clip aliyoipost Twitter.

No comments