Barack Obama sasa ana akaunti binafsi na rasmi ya Twitter. Akaunti hiyo ilifunguliwa May 18 kwa jina la @Potus. Hello, Twitter! It's Barack. Really! Six years in, they're finally giving me my own account. — President Obama (@POTUS) May 18, 2015 Hadi sasa ina followers milioni 2.17.
No comments