Hii ndio ‘reaction’ ya Wizkid baada ya Drake kumfollow Instagram na kuandika mashairi ya wimbo wake Ojuelegba
Wizkid ana wimbo aliomshirikisha Chris Brown hivyo Drake kumfollow na kuandika mashairi yake kwenye akaunti yake ya Instagram yenye followers milioni 9.9 inaweza kuonekana kama ni kitu kidogo!
Lahasha… ni kitu kikubwa sana na kwa Wizkid.
“Thanking god for a life I can’t explain,” ameandika Drake kwenye Instagram yakiwa ni mashairi kwenye wimbo wa Wizkid, Ojuelegba.
“When Drizzy fuxx with the kid,” ameandika Wizkid kwenye Twitter.
No comments