Meek Mill amchana Drake kwenye Twitter, amshutumu kutoandika nyimbo zake mwenyewe
Rapper Meek Mill amemshutumu Drake kuwa huwa haandiki mashairi yake mwenyewe.“Stop comparing drake to me too….
He don’t write his own raps! That’s why he ain’t tweet my album because we found out,” alitweet.
Drake ni ameshirikishwa kwenye wimbo “R.I.C.O.” uliopo kwenye album ya Meek, Dreams Worth More Than Money, lakini kwa mujibu wa Meek, Drizzy hakuandika verse yake.
“He ain’t even write that verse on my album and if I woulda knew I woulda took it off my album….. I don’t trick my fans! Lol,” aliongeza.
Rapper huyo anasema kuwa hiyo si siri na watu wengine wanajua wakiwemo Lil Waynena Nicki. “The whole game know for real they scared to tell the truth! I can’t wait tok these guys and sit back and act like they don’t know!” alisema. “Other artist know tho? lil Wayne and Nicki know ….. Ask em they gone act like they don’t see them tweets.”
Hata hivyo amewasifia Kendrick Lamar na J. Cole. “Kendrick and j cole really know how to rap even tho they in different lanes …. Dude is all the way outta of it lol.”
Meek amethibitisha kuwa akaunti yake ya Instagram haijawahakiwa na alipost picha Instagram akiandika, “I’m not hacked either….. I don’t change me mind!”
No comments