Wanaijeria waiponda filamu mpya ya Will Smith aliyoigiza kama daktari wa Nigeria
Wanaijeria
wametumia mitandao ya kijamii kuponda uhusika wa Will Smith kwenye
filamu mpya ‘Concussion’ ambayo anaigiza kama daktari wa Nigeria.
Wanaijeria
wanahoji kutumika kwa Will Smith kama muigizaji mkuu na mmarekani
badala ya kutumia muigizaji wa Nigeria ambaye angefaa zaidi.
Profesa wa chuo kikuu cha Carleton cha Uingereza, Pius Adesanmi amesema:
When Hollywood wants a French accent, they go for Gerard Depardieu or they make an American actor undergo months of ‘Frenchification’ in language and cultural immersion in France. For Will Smith’s ‘Nigerian accent’, Hollywood concocts what sounds like a 419 mixture of South African, Kenyan, Malawian, and Ghanaian accents. Delivered by Will Smith as ‘Nigerian accent.”
Filamu hiyo itaingia sokoni December mwaka huu.

No comments