ads

Breaking News

Mrembo huyu ndiye sababu iliyomfanya Nisher awe kimya? (Picha)

Muongozaji wa video, Nisher amemweka wazi mpenzi wake.
12237118_1529233004034970_1250876929_n
Nisher aliyewahi kushinda tuzo za muongozaji wa video zinazopendwa kwenye Tuzo za Watu, amemweka wazi mrembo huyo kwenye Instagram.
12063030_1530223823934828_471941929_n
Kwa wengi mrembo huyo anaweza kuwa ndio sababu ya ukimya wake kwenye uongozaji wa video. Hivi karibuni muongozaji huyo mwenye makazi yake jijini Arusha alidai kuwa anafikiria kuoa na pengine mpango huo unaweza kufanyika mapema zaidi.
11348237_1503111093350453_1728178375_n
“Umri wangu unaenda,” Nisher aliiambia Bongo5, September 12 mwaka huu.
12237516_1648841262063898_546569057_n
“Natakiwa nianze kujiandaa kuoa, yaani nina mambo mengi. Familia yangu inaniangalia, wazee wangu wameenda umri umekuwa mkubwa, wanataka mjukuu, kwahiyo natakiwa nianze kujitenga,” alisisitiza

No comments